Back to home
Maandalizi ya mitihani ya gredi 6 na 9 yakamilika
video
C
Citizen TV (Youtube)October 24, 2025
1d ago
Zaidi ya watahiniwa milioni 1.13 watatathminiwa kuanzia Jumatatu wiki ijayo. Aidha wanafunzi wengine zaidi ya milioni moja watafanya tathmini ya gredi ya sita -KPSEA. Maandalizi ya mitihani hiyo ya kitaifa imekamilika huku watahiniwa wakishiriki zoezi la majaribio hii leo. Mbali





