Back to home

Shule za garissa zajiandaa kwa mitihani ya gredi ya 6, 9

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 24, 2025
1d ago
Baadhi ya shule katika kaunti ya Garissa zimeanza maadalizi ya mitihani wa Gredi ya sita na tisa inayotarajiwa kuanza rasmi siku ya jumatatu wiki ujao.