Back to home

DCI yanasa meli yenye mihadarati Mombasa

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 25, 2025
16h ago
Maafisa wa usalama nchini wamenasa shehena ya dawa za kulevya aina ya metamphetamine yenye thamani ya shilingi bilioni 8.2 katika ufuo wa Bahari Hindi.