Back to home

Mahakama ya Makandara yapunguza dhamana ya 5 waliokamatwa kwenye maandamano

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 27, 2025
1w ago
Mahakama ya Makadara imepunguza dhamana ya washukiwa watano waliokamatwa wakati wa maandamano ya tarehe saba mwezi wa saba kutoka shilingi laki moja hadi shilingi elfu thelathini.