Back to home
Mahakama ya Murang'a yatoa tarakilishi gerezani Maranjau
video
C
Citizen TV (Youtube)October 28, 2025
4h ago
Kufuatia msongamano na unaozidi kuongezeka katika magereza mbalimbali kati ka Kaunti ya Murang’a, Mahakama imeanza kuimarisha utendakazi katika shughuli za mahakama kupitia mageuzi ya kidijitali.




