Back to home
Washukiwa 6 waliokamatwa Mombasa kuzuiliwa kwa siku 30
video
C
Citizen TV (Youtube)October 28, 2025
11h ago
Mahakama ya Shanzu imeagiza washukiwa sita wa ulanguzi wa dawa ya kulevya zenye thamani ya shilingi bilioni 8.2 kusalia korokoroni kwa siku 30 ili kuwezesha uchunguzi kukamilika.





