Back to home

Ujenzi wa nyumba za bei nafuu umefikia 50% Kisauni Mombasa

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 28, 2025
23h ago
Ujenzi wa nyumba 816 za kisasa eneo la kisauni kaunti ya mombasa umefikia asilimia 50. Nyumba hizo zinazojengwa mtaani kwa sonko mtopanga zinatazamiwa kukamilika baada ya mwaka mmoja.