Back to home

Mvua kubwa inayonyesha yatatiza usafirishaji mitihani Nandi

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 28, 2025
11h ago
Huku mitihani ya Kitaifa ya KPSEA na KJSEA ikiingia siku ya pili leo, naibu Kamishna Nandi ya Kati, Alfet Jilo, amewahakikishia wadau wa elimu kwamba serikali imeweka mikakati thabiti ya kuhakikisha usambazaji wa karatasi za mitihani hadi maeneo ya mbali na yasiyofikika kwa urah