Back to home

Jamii ya Iteso kutoka Kenya na Uganda yapambana na dhuluma za kijinsia

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 28, 2025
1w ago
Jamii pana ya Iteso kutoka nchi za Kenya na Uganda wameungana na kuzindua mpango wa kupigana na uovu katika jamii yakiwemo maswala ya ndoa za utotoni, dhuluma za kijinsia pamoja na malezi duni katika ufalme wao.