Back to home

Visa vya dhuluma za kijinsia ndani ya familia vyaongezeka Malindi

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 12, 2025
3h ago
Visa vya dhuluma za kingono miongoni mwa jamaa vimeripotiwa kuongezeka katika kaunti ya Malindi, ambako wasiwasi kuhusu haki kwa waathiriwa imegubikwa na giza la tamaduni. Kesi hizi sasa zikiibua changamoto ya mikakati zaidi ya kuwashughulikia waathiriwa wa vitendo hivi, licha ya