Back to home
Mzozo wa ardhi Katani wagharimu maisha ya mtu mmoja, wawili wajeruhiwa
video
C
Citizen TV (Youtube)October 12, 2025
2h ago
Mtu mmoja amepigwa risasi na kuuawa eneo la Katani kaunti ya Machakos kwenye mzozo wa ardhi ambao pia umesababisha kujeruhiwa kwa watu wengine wawili.
Samuel Muiruri Maina alipigwa risasi kufuatia tofauti kati ya mtu anayedai umiliki wa ardhi na kundi la vijana eneo hilo