Back to home
Ujenzi wa uwanja wa Masinde Muliro Bungoma utakamilika mwezi ujao – Katibu Mwangi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 28, 2025
1w ago
Katibu wa wizara ya michezo nchini Elijah Mwangi amewahakikishia wakazi wa Bungoma kwamba ujenzi wa uwanja wa michezo wa Masinde Muliro utakamilika katika kipindi cha mwezi mmoja ujao





