Back to home

Usajili wa polisi wasitishwa na mahakama

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 30, 2025
19h ago
Mahakama ya Ajira na Mahusiano ya Kazi imebatilisha zoezi la uajiri wa maafisa wa polisi lililotangazwa na Tume ya Huduma ya Polisi, ikisema kuwa tume hiyo haina mamlaka ya kikatiba kufanya uajiri huo.