Back to home

Wakazi wapinga ujenzi wa kiwanda cha kusafisha dhahabu huko Bondo

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 30, 2025
19h ago
Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Bondo Rateng’ kaunti ya Siaya wameandamana kupinga pendekezo la kuanzishwa kwa kiwanda cha kusafisha dhahabu katika eneo hilo, wakitaja athari za kimazingira na kiafya.