Back to home
Familia zaidi ya 6,000 sasa zinapika kwa gesi kaunti ya Kirinyaga
video
C
Citizen TV (Youtube)October 30, 2025
4h ago
Familia zaidi ya elfu sita katika kaunti ya Kirinyaga sasa zinapika kwa gesi , hali ambayo ni hatua kubwa katika kupunguza utegemezi wa kuni na makaa.





