Back to home

Shughuli za uchukuzi zasitishwa maeneo mengi nchini Tanzania baada ya maandamano ya kupinga uchaguzi

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 31, 2025
7h ago
Shughuli za biashara na uchukuzi zimetatizika katika eneo la Isebania mpakani mwa Kenya na Tanzania huku maandamano ya kupinga uchaguzi mkuu katika nchi jirani ya Tanzania yakishika kasi