Back to home

Vijana wahimizwa kujifunza matumizi ya akiliunde (AI)

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 31, 2025
6h ago
Kenya ni miongoni mwa maeneo yanayolengwa zaidi na upanuzi wa mfumo wa teknolojia wa AI kupitia mashirika tofauti, hali ambayo inaweza kubadilisha soko la ajira ifikapo mwaka 2030 , hasa katika ajira za huduma kwa wateja, uhasibu na biashara rejareja.