Back to home

Viongozi wa ODM wampigia debe Harrison Garama kombe

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 3, 2025
6h ago
Siasa za uchaguzi mdogo Wa eneobunge la Magarini kaunti ya Kilifi zinazidi kushika kasi huku viongozi wa ODM wakikita kambi katika eneo hilo Harrison Garama Kombe wa chungwa.