Back to home

Linet Mumbua mmiliki wa duka maarufu la kuuza fanicha katika makala ya mwanamke bomba

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 5, 2025
3h ago
Kwenye pilkapilka za mijini, watu wanapohangaika kutafuta kazi wengi huishia kuwa kuwa madalali wa biashara za wengine ilimradi riziki ipatikane. Hata hivyo Linet Mumbua aliona fursa katika kazi ya udalali na kuamua kuichangamkia licha ya kuwa haikuwa kwenye ndoto zake za maisha.