Back to home
KEBS yakusanya maoni kuhusu mabadiliko ya sheria zake
video
C
Citizen TV (Youtube)November 5, 2025
2h ago
Shirika la kukadiria Viwango vya bidhaa (KEBS) kwa ushirikiano na Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda limeandaa kikao cha ushirikishwaji wa umma kukusanya maoni kuhusu Mswada wa kubadilisha sheria ya shirika hilo katika kaunti ya Trans Nzoia.





