Back to home

Wafanyibiashara wapinga zabuni ya shirika la KFS ya kukata miti

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 5, 2025
3h ago
Wawekezaji wa mbao, wazee na vyama vya jamii za misitu kutoka Bonde la Ufa na Magharibi mwa Kenya wamepinga zabuni ya shirika la Huduma ya Misitu KFS ya kuvuna ekari 45,000 za miti iliyokomaa.