Back to home
Shughuli za kuwatafuta wasiojulikana waliko kufuatia maporomoko ya ardhi Elgeyo Marakwet zaendelea
video
N
NTV Kenya (Youtube)November 5, 2025
2h ago
Shughuli za kuwatafuta watu ambao hadi kufikia sasa hawajulikani waliko kufuatia mkasa wa maporomoko ya ardhi katika kaunti ya Elgeyo Marakwet, bado zinaendelea huku mwili mmoja zaidi ukipatikana hii leo, na kufikisha idadi ya waliofariki kuwa 35.
Subscribe and watch NTV Kenya l





