Back to home

Serikali ya Bungoma kusaini mkataba na CGA katika mafunzo ya kilimo cha Mabanga, Kabuchai

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 5, 2025
2h ago
Wakulima zaidi ya elfu 37 katika Kaunti ya Bungoma wanatarajiwa kunufaika na mpango wa kuimarisha kilimo cha nafaka baada ya Serikali ya Kaunti hiyo kusaini mkataba na Chama cha Wakulima wa Nafaka (CGA) katika Chuo cha Mafunzo ya Kilimo cha Mabanga, Kabuchai. Subscribe and watch