Back to home

Wakulima wa miwa wanadai kushurutishwa kupeleka miwa yao Nzoia

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 6, 2025
2h ago
Wakulima wa miwa kutoka eneo Bunge la bumula katika kaunti ya Bungoma sasa wanaitaka serikali kuingilia Kati Na kutatua zogo linalokumba sekta hiyo.