Back to home
Jamii ya Maa yaelezea matumaini ya kunufaika zaidi na mbuga ya Amboseli
video
C
Citizen TV (Youtube)November 6, 2025
2h ago
Magavana watatu kutoka jamii ya Maa katika kaunti za Kajiado, Narok na Samburu wameipongeza serikali ya kenya kwanza kwa kurejesha usimamizi wa mbuga ya Amboseli kwa kaunti ya Kajiado. Wakizungumza kwenye Sherehe za Kitamaduni za Jamii hiyo huko Amboseli , wanasema Jamii hiyo ime





