Back to home
Msafara wa jipange na VIUSASA wazuru kaunti za Magharibi
video
C
Citizen TV (Youtube)November 6, 2025
2h ago
Msafara Wa jipange Na VIUSASA umeingia siku yake ya pili Katika ukanda Wa magharibi ambapo ujumbe wa VIUSASA unazidi kupokelewa vyema Na wakazi. Kampuni ya royal media services imeshirikiana Na VIUSASA kufanikisha maadhimisho ya miaka minane ya vipindi vya kusisimua kwenye kiunz





