Back to home

Wabunge wa ODM waungana na UDA kumpigia debe David Ndakwa

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 6, 2025
2h ago
Baadhi wa wabunge kutoka mrengo wa ODM waliungana na wajumbe wa chama cha UDA kutoka eneo bunge la Malava kumpigia debe mgombea wa kiti hicho kwa tikiti ya chama cha UDA David Ndakwa.