Back to home

Magari mawili yachomwa na vijana Naivasha

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 7, 2025
5h ago
Magari mawili yalichomwa huko Kihoto Naivasha kaunti ya Nakuru baada ya vijana waliofika kwa shughuli ya kutoa msaada kwa waathiriwa wa mafuriko eneo la Kihoto kuzua rabsha alhamisi jioni . Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by K