Back to home
Mashirika ya kutetea haki za binadamu yakashifu mauaji Tanzania
video
C
Citizen TV (Youtube)November 7, 2025
4h ago
Makundi ya kutetea haki za binadamu yamelishutumu serikali ya Kenya kwa kimya kirefu kuhusu mauaji na mateso yanayowakumba Wakenya katika mataifa ya kigeni. Wakati huo Familia ya Ogutu aliyeuawa nchini Tanzania imelilia serikali ya Kenya na Tanzania kuwa na utu na kuchukua hatua




