Back to home

Serikali yathibitisha mkenya mmoja aliuawa Tanzania

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 7, 2025
5h ago
Serikali imethibitisha kuwa mkenya mmoja aliuawa nchini Tanzania wakati wa machafuko ya baada ya uchaguzi nchini humo. Katibu wa wizara ya usalama Raymond Omollo, aidha amesema serikali inafanya uchunguzi wa kina ili familia ya marehemu John Okoth Ogutu, aliyekuwa akifanya kazi t