Back to home
NACADA wakutana viongozi wa dini Kapsabet, Nandi
video
C
Citizen TV (Youtube)November 7, 2025
3h ago
Mamlaka ya Kitaifa ya Kudhibiti Matumizi ya Pombe na Dawa za Kulevya (NACADA) imewataka viongozi wa kidini kushiriki kikamilifu katika kukabiliana na ongezeko la visa vya ulevi na matumizi ya dawa za kulevya katika Kaunti ya Nandi.




