Back to home

Wadau katika sekta ya fedha wazindua mtandao wa 'Connect Plus' kusaidia wanabiashara wadogo

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 7, 2025
3h ago
Ili kuwafadhili wanabiashara wadogo-wadogo katika kuweka rekodi za biashara, wadau katika sekta ya fedha wamezindua mtandao wa Connect Plus, mtandaoa ambao utasaidia pakubwa kuwezesha hata malipo kwa urahisi. Kwa sasa, 30% ya wakenya wanaajiriwa na biashara hizi ndogo ndogo almaa