Back to home
Wafugaji wafungua kiwanda cha kuongeza thamani ya maziwa Machakos
video
C
Citizen TV (Youtube)November 7, 2025
3h ago
Wakulima wa Kambusu katika kaunti ndogo ya Matungulu huko Machakos wamepiga hatua kubwa kwa kufungua rasmi kiwanda kipya cha kusindika maziwa chenye thamani ya zaidi ya Ksh.10 milioni .





