Back to home

Baada ya miaka 13, mshukiwa wa mauaji ya Agnes Wanjiru hatimaye akamatwa Uingereza

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 8, 2025
2h ago
Miaka 13 tangu mauaji ya Agnes Wanjiru, Msusi ambaye mwili wake ulipatikana umetupwa kwenye tenki ya maji taka huko Nanyuki, Mshukiwa mkuu wa mauaji hayo, hatimaye, amekamatwa. Mshukiwa huyo, ambaye alikuwa mwanajeshi wa Uingereza, anazuiliwa na polisi nchini Uingereza akisubiri