Back to home
Walimu wa sekondari msingi wataka kandarasi za kudumu huku wakitishia kugoma
video
C
Citizen TV (Youtube)November 10, 2025
3h ago
Baadhi ya walimu wa sekondari msingi kaunti ya murang'a wametishia kugoma na kusabaratisha masomo iwapo hawataajiriwa na wizara ya elimu wakilalamika kwamba wanafanya kazi kwa kandarasi na kupokea malipo duni.





