Back to home
Walimu wapigania umoja na wakosoa ripoti ya shule hewa Mombasa
video
C
Citizen TV (Youtube)November 10, 2025
1h ago
Muungano wa walimu wakuu wa shule za msingi na sekondari msingi wamepinga hatua ya walimu wa shule za sekondari msingi kujisimamia. Mwenyekiti wa muungano wa walimu wa shule za msingi fuad ali anasema wamefaulu kukamilisha vyema mitihani wa gredi ya 9 ambayo ni ishara tosha kuwa





