Back to home
Walimu wapinga pendekezo la kuhamisha hadi SHA
video
C
Citizen TV (Youtube)November 10, 2025
3h ago
Chama cha walimu nchini KNUT tawi la Makueni kimepinga vikali mpango wa serikali wa kuwahamisha walimu kutoka bima ya matibabu ya kibinafsi na kuwaweka chini ya bima ya SHA. Katibu wa chama hicho kaunti ya Makueni Benson Ndambuki anasema hatua hiyo ni hujuma kwa walimu kwani wafa




