Back to home
Walimu wahamia SHA baada ya mkataba wa bima ya kibinafsi ya KSh 20B kuisha
video
C
Citizen TV (Youtube)November 10, 2025
2h ago
Walimu na familia zao sasa wanatarajiwa kuhamia bima ya matibabu ya SHA baada ya mkataba wa bima ya kibinafsi wa shilingi bilioni 20 kukamilika. Tume ya kuwaajiri walimu (TSC) imetangaza kuwa uhamisho huo utaanza kutekelezwa tarehe mosi Disemba mwaka huu. Walimu wanatarajiwa kupa





