Back to home
Viongozi wa kanisa na upinzani Tanzania wakemea ghasia za uchaguzi
video
C
Citizen TV (Youtube)November 10, 2025
2h ago
Mwenyekiti wa Tume ya haki na Amani ya baraza la Maaskofu Katoliki Nchini Tanzania Yuda Tadei Ruwaichi amekashifu ghasia za uchaguzi zilizoshuhudiwa nchini Tanzania. Akiongoza misa kwa waathiriwa wa ghasia hizo, Askofu huyu Mkuu wa Jimbo la Dar Es Salaam, amelaumu serikali kwa ku





