Back to home
Polisi na makanisa waandaa maandamano dhidi kuongezeka kwa visa vya ajali Illasit-Kimana
video
C
Citizen TV (Youtube)November 11, 2025
1h ago
Kuongezeka kwa visa vya ajali kwenye Barabara ya Kutoka Loitokitok hadi Emali kaunti za kajiado na makueni , kumewachochea Maafisa wa Polisi Kwa ushirikiano na Viongozi wa makanisa kuandaa matembezi Kutoka mji wa Ilasiti hadi mji wa Kimana kuhamasisha Umma kuhusu Usalama wa Barab





