Back to home

Waziri wa madini Ali Hassan Joho amewahakikishia Wakenya kuwa uchombaji wa madini itakuwa wazi

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 13, 2025
2h ago
Waziri wa madini Ali Hassan Joho amewahakikishia Wakenya kuwa uchombaji wa madini ya dhahabu yaliyopatikana Ikolomani, kaunti ya Kakamega utafanywa kwa uwazi. Akizungumza kwenye mahojiano ya Maskani na Rashid , Joho aliwataka wakenya kuiruhusu serikali kutumia raslimali zilizopo