Back to home

ODM imuidhinisha Obura Odinga kuwa kinara wa chama

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 13, 2025
1h ago
Barraza kuu la chama cha ODM limemuidhinisha rasmi seneta wa Siaya Obura Odinga kuwa kinara wa chama hicho. Uamuzi huu ulifanyika katika mkutano maalum ulioandaliwa jijini Mombasa ambapo chama hicho kimeandaa hafla maalum ya kuadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwake na hayati R