Back to home

Kwale kuwa mwenyeji wa mashindano ya baisikeli ya Afrika ya CAC

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 13, 2025
1h ago
Kaunti ya Kwale itakuwa mwenyeji wa mashindano ya uendeshaji baisikeli ya Afrika ya 'CAC' yatakayofanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 19 hadi 23 katika maeneo ya Diani na Kwale