Back to home
Karua amkashifu Ruto kwa siasa za matusi, ajipigia debe Tana River
video
C
Citizen TV (Youtube)November 15, 2025
1h ago
Kinara wa chama cha People's Liberation Party Martha Karua ameMshtumu rais William Ruto kwa kuendeleza siasa za matusi dhidi ya viongozi wa upinzani. Akizungumza mjini Hola kaunti ya Tana river, Karua amemtaka rais kuwatumikia wananchi na kutekeleza aliyowaahidi badala ya kuendel
