Back to home

Ruto atetea sera za serikali na kukemea siasa za mgawanyiko Ukambani

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 15, 2025
1h ago
Rais William Ruto ametetea sera za serikali yake na hatua zilizopigwa katika sekta ya afya, kupunguza gharama ya maisha na kukabiliana na tatizo la makazi nchini kupitia mpango wake wa nyumba za bei nafuu. Rais Ruto pia amewakashifu wapinzani wake kwa kuendeleza kile alichosema n