Back to home

Walimu wa JSS Kwale wataka TSC iwape ajira ya kudumu

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 17, 2025
13h ago
Walimu wanagenzi wa shule za sekondari msingi katika kaunti ya Kwale pamoja na chama cha walimu cha KUPPET wameshinikiza serikali kuwaajiri baada ya kuhudumu kwa kipindi cha mwaka mmoja.