Back to home
Usajali wa makurutu wa polisi waanza Nairobi
video
N
NTV Kenya (Youtube)November 17, 2025
1h ago
Shughuli ya usajili wa polisi inaendelea kote nchini baada ya korti kubatilisha amri iliyoisimamisha juma lililopita. Katika eneo bunge la kamukunji, kaunti ya Nairobi vijana 250 hamsini wamejitokeza huku takriban 30 wakiwa wanawake.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest





