Back to home

Idadi ya vifaru weusi yaongezeka hadi zaidi ya 1,000 nchini

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 17, 2025
1h ago
Kenya imeongeza idadi ya vifaru weusi kutoka chini ya 400 mwaka 1990 hadi zaidi ya 1,000 mwaka 2024. Ili kuendeleza mafanikio haya, Shirika la Huduma kwa Wanyamapori KWS linapanga kupanua makazi ya vifaru kufikia takriban asilimia 6 ya mbuga zote nchini.