Back to home
Kampeni za uchaguzi mdogo zimepamba moto eneo la Mbeere North
video
C
Citizen TV (Youtube)November 18, 2025
2h ago
Kampeni za Kinyanganyiro cha ubunge Mbeere North zinaendelea kupamba moto huku Naibu rais Profesa Kithure Kindiki akitua eneo hilo kumpigia debe mgombea wa UDA naye kinara wa DCP Rigathi Gachagua akiendelea kuuza sera za mgombea wa DP. Pande zote zikiendelea kupigania kiti hicho





