Back to home

Baadhi ya wabunge katika kaunti ya Meru washutumu viongozi wa upinzani

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 18, 2025
5h ago
Wabunge kutoka Kaunti ya Meru, wamewakosoa viongozi wa upinzani wakidai hawana ajenda yenye manufaa kwa wananchi.